Pata internet free of charge wifi

HAbari ya nyinyi wana jamvini, wengi tumekuwa tunatamani kupata access ya Wireless intenet , But kikwazo ni key za kuweza kuingia ili tupate access ya internet, mdogo wenu nimezama machimbo yote kwa muda nimebahatika kuja na solution ya hilo. Unatakiwa uwe na software mbili 1.Wireless Net view 2.Mac2wepkey Hatua, Switch on wireless yako kwenye laptop yako fungua wireless net view, kama upo eneo ambalo wifi ipo covered utaona orodha ya wireless hata amabzo ulikuwa hauzioni kabla ya kuwa na wireless net view. Utaona connection ambazo zipo secured na ambazo hazipo secured. Kitendo cha kuona tu connection ambayo haipo secured, pia pembeni kulia kwenye start bar utaiona right click then connect. na kwa wifi ambazo zinaomba key. usiogope unachotakiwa kufanya chagua connection ambayo signal zake zipo juu, alafu utacopy mac address yake , "hii inaonekaana kwa kutumia hiyo wireless net view i copy, hapo utafungua mac2wepkey na kupaste hiyo mac address then click go button inaku generate key za connection uliyochagua. Pata raha kama hauto elewa naomba uni call 0712504567 email wanatamani@gmail.com for attachment of this software
Hii thread ingekuwa help kama ungeituma miaka ya 1997 lakini sio miaka hii ya 2016, kumbuka kuwa hiyo Mac2wepkey ina decrypt encryption ya WEP wireless tu na sio WPA au WPA2 ambayo ndo wireless encryption ya most recent wireless devices, kumbuka algorithm ya WEP na WPA ni vitu viwili tofauti, nitashangaa sana kama kuna mtu ataleta positive feedback hapa kuhusu hii software
 
Nilitaka kukupinga kwanza, but nijajaribu kabisa.. na nimetoka kapa not working.. inaweza ikaconnect yes lakini haupati any access haupewi ip, so ni kazi bure.

Kwa wanaotaka kujaribu nao pia nime attach izo tools bellow. Msije sema naongopa bure LOL!
Mkuu wala huongopi, na nashangaa hata umeanzaje kujaribu maana hapo ni kama mafuta na maji maana wireless devices nyingi sasa hivi zinatumia WPA au WPA2 security encryption, na hii software inadecryt WEP security encryption, kumbuka algorithm ya WEP na WPA ni vitu viwili tofauti kabisa
 
Mi nasubir maajabu ya 10 hapa ya dunia.. Hili jambo kwa sasa haliwezekan kwa njia hyo mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom