Pata intaneti ya 4G LTE

Pata intaneti ya 4G LTE

mshihiri

Senior Member
Joined
Jul 15, 2011
Posts
138
Reaction score
89
jamani hii kweli au promo zao tu
Dar-es-Salaam! Pata intaneti ya 4G LTE kwenye maeneo haya. Piga *149*00# kwa vifurushi bomba. SMART - let's surf! SMART 4G LTE - Smart - Lets Talk #Smart4GLTE 1908126_1553638951525331_4780518076873612108_n.jpg
 
Mi line yao nishaitupa kipindi kile inasoma 2G only.
Mwenye device ya 4G ajaribu na kutupa mshindo nyuma.
 
Mbwembwe tu hizi...Smart ni wachovu kuliko makampuni yote ya simu labda watawazidi Viettel wakija
 
Ubovu wao wanatumia Bands za ki snitch i.e TDD 2.300Mhz kwa hii Band inakulazimu kuchukua Modem mpya au simu mpya

Wangekuwa wa maana wangetumia 800Mhz sawa na za smile na ambazo most likely wakatumia Tigo

Ukiangalia katika compatible devices simu zilizotajwa sio popular ki vile kabisa
 
viettel Itakua no shida nchi nzima kwa mkupuo
 
hawa vittel nawakubali nilishatumia huduma zao msumbiji kule wanaitwa movtel
 
Mie ninayo cm yangu ni 4G lte Lakini hao smart wajafka shamba natumia voda lakini wanasoma 3G chukua cm kama yangu huawei g7
 
Back
Top Bottom