Pata godoro,feni gas bei chee

Shekuna

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2014
Posts
688
Reaction score
549
wakuu nauza godoro 4*6 used,feni na gas complete kama zinavoonekana kwa picha...
godoro bei 55 elfu tu
gas 55 elfu tu
feni 35 elfu tu...
napatikana savei mlman cty
Karibuni pm
 
wakuu nauza godoro 4*6 used,feni na gas complete kama zinavoonekana kwa picha...
godoro bei 55 elfu tu
gas 55 elfu tu
feni 35 elfu tu...
napatikana savei mlman cty
Karibuni pm
Mtungi na gesi yake mihan 65,sasa ukiuza 55 mtu akijaza gesi elfu 20 ni elfu 75,wauzie watu wa mikoani waliokuja leo kesho wanaondoka,mtungi huo elfu 30 sawa,maana mkubwa unaupata mtupu elfu 45 ule wa kilo 15!Godoro chafu sana hilo elfu 15,feni elfu 20!
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] punguza ukali wa maneno mkuu
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] punguza ukali wa maneno mkuu
Mkuu mtungi wa mihani na gesi na ile burner na grill ya kubandikia sufuria mpya ni bei gani?hawezi kuuza elfu 55 afu ukajaze gesi elfu 20 ni ulaghai!awauzie watu ambao wamekuja jana kutoka dodoma,singida,mwanza,chato,tabora yaani kanda hizo za huko mpaka kahama!
 
Mhhhh
 
Umetumia lugha kali sana mkuu
 


Ha ha ha ha a a
Nimecheka mpaka
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…