Pata gari mpya na used kwa bei poa

Pata gari mpya na used kwa bei poa

Wadau wangu samahanini kwa kuchelewa kuwahibu
Naomben ukihiitaji gari tuma msg ya kawaida au waspa
Muda wowote gari zipo nyingi 0656 436662
Tutajadiliana na kufanya biashra0656 43 66 62

shida bado iko pale pale jkwa wafanya biashara wa kitazania
wekeni na bei kabisa kila garo model na bei yake.
 
9k=

mie nataka hiyo waijua? ni Buggati! the fastest car on earth!
 
Nahitaji landcriser VX, cjali mwaka bora iwe nzima (kwny engine na bodi isiwe full maputi).Bajeti 10M cash!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom