Pata gari mpya na used kwa bei poa

Pata gari mpya na used kwa bei poa

starson85

Senior Member
Joined
Jan 19, 2015
Posts
146
Reaction score
14
Pata gari kma passo,vtz,ist na kadhalika piga namba 0656-436662
 

Attachments

  • 764e348442f6604c48f220dd93f62de2FS.jpg
    764e348442f6604c48f220dd93f62de2FS.jpg
    29.6 KB · Views: 1,276
Unaposema mpya una maana brand new? au used in Japan?
Na unaposema used una maana used in Japan or Used in Tz? funguka vema
 
Eeh bana nataka NOAH na nina shs 6500000/-
Ni inbox kama upo tayari.
 
Eeh bana nataka NOAH na nina shs 6500000/-
Ni inbox kama upo tayari.

Kaka noah ya bei hyo ni ya kubahatisha mtu awe na shida lkin noah nzuri 9.5 m ndo ninazo na kuendelea kuna moja ipo nichek kwenye 0656 43 66 62
 
Weka model za magari na range ya bei. Mimi nahitaji kadogodogo ka kutembelea kwa 3M
Kwa bei hyo kaka huwez pata labda ulenge kwa wahind ndo unawez kubahatisha asnte
 
Modeli zilizopo n passo, carina,vitz,alex nk kwa chaguo lako uliza kupitia nmba 0656 43 66 62
 
Swift, Ist na Raum naweza kupata kwa chini ya 7m?
 
Wadau wangu samahanini kwa kuchelewa kuwahibu
Naomben ukihiitaji gari tuma msg ya kawaida au waspa
Muda wowote gari zipo nyingi 0656 436662
Tutajadiliana na kufanya biashra0656 43 66 62
 

Attachments

  • picmix-2802015-10139.jpeg
    picmix-2802015-10139.jpeg
    27.5 KB · Views: 230

Similar Discussions

Back
Top Bottom