uzeebusara
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 657
- 514
(FENICHA ZOTE ZIMESHAUZWA)
Habari wana Jf
Fenicha zifuatazo za ofisi zinauzwa kwa bei rahisi kabisa. Zimetumika kwa muda usiozidi miezi 8 tu
1. Meza ya kichina (imported, executive table) kubwa ya droo 3 kushoto na kabati ndogo kulia. Bei yake ni Tsh 400,000
2. Kiti kikubwa cha ngozi cheusi cha kuzunguka(executive office chair). Bei yake ni Tsh 170,000
3. Viti viwili vya ngozi rangi nyeusi vya wageni. Kila kimoja bei yake 120,000
4. Fenicha hizi zote zipo Kigamboni, Dar Es Salaam
5. Maongezi yapo kuhusiana na bei na ofa nzuri zaidi inapokelewa kwa anaechukua set nzima ya vifaa hivi
6. Mawasiliano 0659211222
MUHIMU
picha zinafuata