Prince Nadheem
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 1,270
- 1,111
Habari za leo wana JF? Hope mko poa kabisa.
Nauza digital camera aina ya Olympus, 16MP, X5 zoom na. picha zake ndio hizo hapo chini.
Ni brand New kabisa nimeletewa from UK.sijaitumia.
Nauza
Nauza kwa sababu nina camera zingine mbili zaidi (kwa wale wanaopenda kuuliza kwanini unauza?).
Karibuni.
Bei ni 170,000, nakaribisha mazungumzo