Pata cupon ya tsh 30,000 za chakula hapa

Mbona sielewi elewi.. Naona maneno coupon coupon 2 mara 5000 mara 3000 mara 2000

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

jaribu kusoma vizuri kaka kama bado huelewi basi piga No hizo hapo juu
 
inaonekana umelazimishwa kuleta hizi habari za menu humu jf jitahidi sana kuwa mpole na wateja zaidi ya hapo utapoteza wote kwa sababu ya lugha yako mkuu.. good passover monday!
 
Samahani Bro mimi nilidhani maelezo yaliyotolewa hapo juu yamejitosheleza kama kunasehemu kumbe haieleweki basi naomba uspecify ili nikuelezee hapahapa thanks
 
Back
Top Bottom