Pata cupon ya tsh 30,000 za chakula hapa

Pata cupon ya tsh 30,000 za chakula hapa

Msamiati

R I P
Joined
Mar 6, 2011
Posts
1,063
Reaction score
700
Tukiungana na wakristo kona zote duniani kusheherekea sikukuu ya Pasaka, Chenglee Healthly Food imetoa cupon 100 zenye thamani ya Tsh 3,000,000 kama zawadi.

Kila Cupon ina shilingi 30,000/= na wanaoweza kunufaika na kupon hizi ni Wafanyakazi wa maofisini, wafanya biashara na wanavyuo waliopo katikati ya jiji la dar es salaam Tu.

Kupon hizi zitatumika kufanya oda ya chakula kutoka kampuni ya chenglee tu

Validity Period ni siku 15 tu,

Unaruhusiwa kulipia Tsh 2000 tu kutumia kupon kwa kila Order Utakayofanya

Cupon Hizi ni kwa ajili ya lunch tu.

Siku ambazo hutafanya Order zitahesabiwa.

Mtu MMoja anaruhusiwa kuchukua Kupon zisizo zidi 5.

> Ukifanya Order Tunakuletea Chakula Mpaka ulipo Bure.

KUPATA KUPON TUMA JINA LAKO NA ADRESS SAHIHI YA MAHALI UNAPOFANYIA KAZI/BIASHARA
TUMA NA NAMBA YAKO YA SIMU, VYOTE KUPITIA PM HAPAHAPA JF

kupon zitaanza kutumika kesho, Fanya order kwa mawasiliano utakayopewa kabla ya saa 3 asubuhi. Chakula kitakufikia saa7 kamili


[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD]
Chinglee Healthly Food

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
RICE SPECIAL[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD]ITEM
[/TD]
[TD]PRICE
[/TD]
[TD]ITEM
[/TD]
[TD]PRICE
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Vegetable rice with beef stew

[/TD]
[TD]
5500
[/TD]
[TD]
Chips samaki
[/TD]
[TD]
5500
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Pilau (chicken,beef)
[/TD]
[TD]
5500
[/TD]
[TD]
Chips maini roast/beef roast
[/TD]
[TD]
5500
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Mix(wali ndizi)(pilau ndizi)
[/TD]
[TD]
5000
[/TD]
[TD]
Chips kuku
[/TD]
[TD]
5500
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Steamed rice na mbogamboga
[/TD]
[TD]
6000
[/TD]
[TD]
Chips masala beef
[/TD]
[TD]
6000
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Fried rice na salad na/nyama
[/TD]
[TD]
5500
[/TD]
[TD]
Chips mayai
[/TD]
[TD]
4000
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Birian(kuku au mbuzi)
[/TD]
[TD]
6500
[/TD]
[TD="colspan: 2"]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD]All orders Must be Made Before 9:00 Morning Throw
+255 712 494 761

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Chapati roast nyama/roast main
[/TD]
[TD]
5000
[/TD]
[TD="colspan: 2"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Hk
[/TD]
[TD]
8000
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
UGALI PASTA
[TABLE="width: 516"]
[TR]
[TD]
Ugali(dona) na kisamvu,maharage,nyama roast
[/TD]
[TD]
5000
[/TD]
[TD]
Spaghetti bolognese
[/TD]
[TD]
5500
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Ugali(mhogo) na mbogamboga,nyama na maharage
[/TD]
[TD]
5000
[/TD]
[TD]
Pasta with marinara sauce
[/TD]
[TD]
6000
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Ugali na dagaa,njegere,mchicha
[/TD]
[TD]
5000
[/TD]
[TD]
Pasta with minced meat
[/TD]
[TD]
5500
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]
[/TD]
[TD]
Spaghetti with meatball sauc
[/TD]
[TD]
5500
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
NYAMA SOUP

Kuku choma na ndizi.

5000

Chicken soup

5000

Samaki choma na ndizi

5000

Fish soup

5000


SALADS Vegeterians[TABLE="width: 516"]
[TR]
[TD]
Tuna salads
[/TD]
[TD]
5000
[/TD]
[TD]
Broccoli soup
[/TD]
[TD]5000
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Pasta salad
[/TD]
[TD]
5000
[/TD]
[TD]
Caulflower soup
[/TD]
[TD]5000
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Fruits salads
[/TD]
[TD]
4000
[/TD]
[TD]
Spinach soup
[/TD]
[TD]5000
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]
[/TD]
[TD]
Carrot soup
[/TD]
[TD]5000
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Hii ni zawadi yetu kwenu Kwa ajili ya sikukuu ya pasaka

UNGANA NA WAJANJA WANAOJALI AFYA ZAO AGIZA KUPON YAKO SASA NA UIPATE NDANI YA DK1. pASAKA NJEMA
 
Maswali yaulizwe hapa please sio Private

Unaweza kuwanunulia chakula watu 5 kwa Cupon 1, Kila Order unailipia Tsh 2000 Kwa kutumia Kupon.
 
Hili ni tangazo la biashara tu!!! Menu+price= advert,sorry nataka kibulu,itakuwa shilingi ngapi?pamoja na usafiri wa 300 kufika nilipo?good strategy though.
 
Hili ni tangazo la biashara tu!!! Menu+price= advert,sorry nataka kibulu,itakuwa shilingi ngapi?pamoja na usafiri wa 300 kufika nilipo?good strategy though.

Kibulu ndio kinini kaka,
 
Kupon zinazotakiwa kutolewa hapa zimebaki 30, tuma Email au Pm ili kupata kupon Za chakula sikukuuu hii

Unafanya oder unaletewa chakula mpaka sehemu yako ya kazi saa 7 kamili Bureeeeeee
 
Jamani Package yetu ni afrodable kama sio mlaji mzuri haumalizi, Package zote zenye kuku ni kuku robo. Tumetoa kupon hizi ili watu wajue kuwa kunachakula kizuri dar es salaam kinapikwa Chenglee Healthly food
 
Jamani Package yetu ni afrodable kama sio mlaji mzuri haumalizi, Package zote zenye kuku ni kuku robo. Tumetoa kupon hizi ili watu wajue kuwa kunachakula kizuri dar es salaam kinapikwa Chenglee Healthly food
Hapo sasa umekuja vizuri!!!acha longolongo sema msosi shing ngapi,mpo wapi?na mambo kama hayo,oooh sjui coupon sjui nini haina tija.
 
Hapo sasa umekuja vizuri!!!acha longolongo sema msosi shing ngapi,mpo wapi?na mambo kama hayo,oooh sjui coupon sjui nini haina tija.

Some time huwa nachukia kuona kuna watu IQ zao ni 8 Degree KUku choma na ndizi ni Tsh 5000/= But Ukiwa na Cupon Unaweza Kulipa Tsh 3000 Then 2000 Ukalipa kwa Kupon Xo longo longo zipo wapi hapo Bado kwa kutumia cupon Unapata free Derivery Longo longo ipo wapi hapo, Bado hatukwambii ututumie pesa Pay on Derivery WE mzee wa wapi wewe!!!!!!!! Hebu ongea kama mtu mwenye kufikiria kwanza kabla hujasema lolote
 
Hapo sasa umekuja vizuri!!!acha longolongo sema msosi shing ngapi,mpo wapi?na mambo kama hayo,oooh sjui coupon sjui nini haina tija.
Na kwa taarifa yako cupon zimebaki 10, tisini zote zimesha chukuliwa
 
]Some time huwa nachukia kuona kuna watu IQ zao ni 8[/COLOR] Degree KUku choma na ndizi ni Tsh 5000/= But Ukiwa na Cupon Unaweza Kulipa Tsh 3000 Then 2000 Ukalipa kwa Kupon Xo longo longo zipo wapi hapo Bado kwa kutumia cupon Unapata free Derivery Longo longo ipo wapi hapo, Bado hatukwambii ututumie pesa Pay on Derivery WE mzee wa wapi wewe!!!!!!!! Hebu ongea kama mtu mwenye kufikiria kwanza kabla hujasema lolote
wazo lako ni zuri sana....ila hii sio lugha ya biashara(na pia sio ustaarabu).....hasira zinawekwa kando kwenye mambo kama haya...kila la kheri
 
wazo lako ni zuri sana....ila hii sio lugha ya biashara(na pia sio ustaarabu).....hasira zinawekwa kando kwenye mambo kama haya...kila la kheri

Hiyo ndo lugha ya kuongea na wapuuzi kama wewe mnadandia dandia maghari kwa mbele
 
Good strategy hii ni zaidi ya chinese duh hongera blaza, mwanza mtaenda lini?
 
Hiyo ndo lugha ya kuongea na wapuuzi kama wewe mnadandia dandia maghari kwa mbele

Was this necessary? Mbona aluchosema ni ukweli mtupu? Hata kwa mtu anae kusaidia hiyo lugha haifai, ndio itakua huyu anaetafuta wateja?
 
Mbona sielewi elewi.. Naona maneno coupon coupon 2 mara 5000 mara 3000 mara 2000

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom