Pata chimbika

Kumbe walikuwa wamelala muda wote sasa malipo ya nini? Au maana ya kina ya kulala?
 
Du hii inanikubumbusha mbali sana. Afadhali tuwe tunatembea na card machine kabisa.
 
ha haha yale yaache kuna mkuu wa mkoa kaniboa sana nimechukia ngoja nikamseme ila m7 si ipo bado?
Ile m7 nimeidokoa dokoa, lakini jana hazina wametema, imeshatimia. We nenda kalikoroge, tutalinywa ote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…