Zinatibu magonjwa mengi sana kama kisukari,presha,afya ya moyo,mmengenyo mzuri wa chakula,afya kwa ngozi,afya ya mifupa,zinaongeza kinga ya mwili,n.kZina kazi gani?
Sawa kaka karibu sanaZinatibu magonjwa mengi sana kama kisukari,presha,afya ya moyo,mmengenyo mzuri wa chakula,afya kwa ngozi,afya ya mifupa,zinaongeza kinga ya mwili,n.k
Karibu sana
Nipo Karagwe mkoani Kagera mkuu tunatuma mikoani piaIko pande zipi mkuu
Chia seeds ni mbegu ambazo zina virutubisho vingi na muhimu kwenye afya na dhidi ya magonjwa,faida zake ni kuipa mifupa nguvu,kuimarisha kinga ya mwili,kutibu presha na magonjwa ya moyo,husaidia kupunguza uzito(unene),hutibu kisukari,huipa ngozi afya,huimarisha afya ya ubongo,kwa wale wenye HIV huimarisha Kinga mara dufu,yaani hizi mbegu zina faida nyingi sana na zina matokeo mazuri sana ndani ya muda mfupiNi vyema ilieleza faida za bidhaa yako
Morogoro mnafikajepata chia seeds kwa bei nafuu.Ndg wateja tunaendelea kufanya delivery ya chia seeds/chia kwa bei nafuu kabisa ya shillingi 5000 kwa
kilo,chia zetu ni safi,hazina mchanga na zimepepetwa vizuri kabisa.Daresalaam tuna kituo
tayari na wote wanaohitaji mzigo mkubwa upo wa kutosha.Chia seeds zina faida nyingi sana katika afya yetu kwa ujumla kama,huongeza kinga ya mwili,hudumisha afya ya ngozi,mifupa na meno,hutibu magonjwa ya moyo na sukari,huongeza nguvu za kiume,pia hupunguza uzito na kuupa mwili mwonekano mzuri kabisa.Karibuni sana wateja,namba yangu
ni0755748007View attachment 1256481
Morogoro mnafikaje
akili kumkichwaKwahiyo hizo mbegu unatuuzia tukazioteshe miilini mwetu halafu nguvu za kiume zimeingiaje humo
Kwahiyo hizo mbegu unatuuzia tukazioteshe miilini mwetu halafu nguvu za kiume zimeingiaje humo