Pata cement kwa bei ya jumla

Mkuu vipi kama nataka cement ya matumizi binafsi? Nahitaji mifuko kama 300-350. Unaweza kunisafirishia mpaka Biharamulo? Kama utanisafirishia, mfuko utanipa kwa shillingi ngapi (Dangote na Twiga?)

Asante
 
Kwa mikoa ya mbali tunasafiriaha,, nichek kwa namba 0688121308
 
Cement ya Dangote vipi inapatikana?
 
Na bei vp kuhusu bei mkuu huwa znatofautiana au huwa bei ni moja tu.?
Wadau kwema? Asanteni kwa elimu nzuri. Naomba kujua Wakala (middle man) wa Simenti aliyepo maeneo ya King'azi/mbezi ya kimara ili kupata simenti kwa bei nafuu kwa ajili ya ujenzi siyo kuuza.
 
Kwa mwanza unaweza safarisha hasa twiga cement kwa hiyo bei ya 13300 au ni kulipia mzigo na usafiri nijitafutie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…