Pata cement kwa bei ya jumla

nyamata07

Member
Jun 7, 2016
59
16
Tunauza cement ya Twiga 10800 bila transport na usafir itakua 11300,, kwa dar tunapeleka kokotee ulipo na kwa mikoan tunachukua oda,, Cement ya kisarawe lucky cement kwa bei ya jumla 11000 pamoja na usafir, namba za mawasiliano 0688121308.

Pata cement kwa bei nafuu kabisa ya jumla
 
Cement ni ya 32.5,, na bei ni kwa mfuko ila tunasambaza kuanzia tone 15 sawa na mifuko 300.Asante na karibu tufanye kazi.

Nikitaka mfano mifuko 30 mpaka 40 ya kujengea binafsi je unaweza kunipa??
 
Bei niloyoitaja ni kwa wateja wanaochukua tone 15 na kuendelea mkuu,,, labda kama upo dar nikuelekeze unaweza ukaipata wapi Kwa bei sambamba na hiyo,,, kwa maelezo zaid piga number 0688121308
 
mifuko 1000 handeni utapeleka kwa sh ngapi
twiga au hyo kisarawe
Bei ni hiyo hiyo 10800 bila transport kwa Twiga Cement,, ukitaka na transport inakua 13300 na lucky cement ni 13000 pamoja na usafir lakin bila transport ni 10800,, kuondoa gharama za transport unaweza kutafuta transporter wako sisi tukakuuzia kwa 10800. Asante
 
asante mkuu kwa kujibu naona dangote wapo vizuri maana 11000 mpaka site wanapeleka .
 
Tunauza cement ya Twiga 10800 bila transport na usafir itakua 11300,, kwa dar tunapeleka kokotee ulipo na kwa mikoan tunachukua oda,, Cement ya kisarawe lucky cement kwa bei ya jumla 11000 pamoja na usafir, namba za mawasiliano 0688121308.

Pata cement kwa bei nafuu kabisa ya jumla
Kwa kigoma utasafirisha kwa shilingi ngapi?
 
dangote ni habari ya mjini mkuu .ukiona twiga kafika 11000 jua dangote ni 10000 mpaka site
Dangote kaja kuwaokoa watanzania na hao mabepari kila siku cement yao ilikuwa inapanda bei, sasa hivi wameanza kushika adabu.
 
32. 5 na 42. 5 hizi nguvu za cement huwa inaandilwa kwenye kila mfuko mfano dangote ya 32. 5 unawsz kupiga matofar 45 kwa mfuko na yakawa fresh n 42. 5 unapiga 50/55na yakawa fresh bila nongwa ndio maana nikamuuliz hizo cement zero ni ipi?

Sent from my SM-G530H using JamiiForums mobile app
 
Na bei vp kuhusu bei mkuu huwa znatofautiana au huwa bei ni moja tu.?
 
Back
Top Bottom