Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 26,502
- 40,185
Wanajamvi
Katika kujisogeza kimaisha, nimeingia kwenye ujasiriamali wa uchapaji wa kutumia mashine za kisasa (Digital) ambapo pamoja na kufanya ubunifu (designing) ninaprint fliers, Booklets, Receipts, stickers, Invoices, Letterheads, Majarida, posters, banners, tshirts, business cards uchoraji wa vielelezo (illustrations) na kadhalika.
Kwa upande wa Business Cards, tunaprint na kukata kadi hizo kwa gharama isiyozidi shs 10,000 kwa kadi 100. unapoleta kadi katika softcopy unapata products ndani ya dakika 10. nimeambatanisha na taswira ya mashine ya kukata bizcards ya kisasa.
mawasiliano kwa huduma ya uchapaji
0657 495090
Email: pevuafrica@gmail.com
Karibuni sana