mpinga shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,234
- 960
kiongozi inashinda dolphin?me naikubali sana dolphin maana ni nyepesi sana na ipo faster.
Wengi tumeizoea Opera mini lakini sasa watumiaji wa simu au tablets zinazotumia Android wanaweza ku download browser mpya, faster kuliko opera. Inaitwa Next. Imeundwa na wale wale wataalam waliokuletea Go Launcher. Ni nzuri sana hasa kwa sababu ina flash player. Enable in settings. Na pia interface. Yake ni very. Clean
Mkuu browser ipi ni nzuri kwa suffer katika net maana uc naituma kupakulia ma file sasa ku surf net ni ipi mkuu?mkuu operamini inafanananishika na ucweb na browser nyengine ambazo zinatumia proxy kucompress data. unapofananisha opera mini na dolphin, chrome au firefox unakosea.
kama unataka kufananisha chukua opera next ambayo inatumia webkit kama browser nyengine za android hapo ndo utafanya comparison nzuri