Pata Apple Computer Kwa Malipo Ya Awamu

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
1,195
1,661
Drone Computer wauzaji wa muda mrefu wa Computer, sasa tumekuletea
Computer za mac Apple ' All in one zenye sifa zifuatazo...; screen
size inch 20, CPU na speaker zimo ndani ya screen, internet inatumia
hotspot ya simu, mpya toka u.s.a ,6months warranty, zinauzwa Bei
nafuu, chini ya laki tano.
Kwa sasa, tunapokea malipo kwa awamu (installments) kuanzia elf 50 kwa wiki
au laki moja na nusu kwa mwezi.

Tupo mbez Luis (Mbezi mwisho baada ya Kimara)......offer:Ukikamilisha malipo
yote ndani ya mwezi mmoja, unapata punguzo la elfu 50.

wasiliana nasi kwa no: 0713 039 875 karibu sana!!!!!

Ofa hii ni ndani ya siku 30.
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2019-06-19 at 17.25.43.jpeg
    WhatsApp Image 2019-06-19 at 17.25.43.jpeg
    30.9 KB · Views: 24
  • WhatsApp Image 2019-06-19 at 17.25.43(1).jpeg
    WhatsApp Image 2019-06-19 at 17.25.43(1).jpeg
    27.7 KB · Views: 22
  • from u s a.PNG
    from u s a.PNG
    157.7 KB · Views: 25
Dah! Safi sana. Ndoto yangu imetimia.
Hebu na hili la mubunifu wa apple aliyejitoa limekaaje pia, nyie mpo karibu na dunia tuambieni sisi huku Kakonko
 
Unaweza weka maelezo (specifications) kuhusu hizo Pc na ni za mwaka gani? Thanks.
 
Mm natafuta cover/housing ya Lenovo ideapad S300
Mwenye nayo aje inbox pamoja na picha na bei.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom