Pat viatu vya kiume kwa bei poa

tivaharry67

Member
Jan 31, 2017
8
1
Jipatie viatu mbalimbali vya kiume kama Air max,Tiger,Puma,adidas,vans na vingine vingi kwa bei poa kabsa...0785042450
IMG-20170126-WA0026.jpg
IMG-20170204-WA0000.jpg
IMG_20170201_105835_853.JPG
IMG-20170202-WA0005.jpg
IMG-20170124-WA0138.jpg
IMG-20170124-WA0123.jpg
IMG-20170124-WA0116.jpg
IMG-20170124-WA0089.jpg
 
Yule Mnyama PUMA pale ni Tshs ngapi? Kuna rangi zingine za PUMA?
 
Nakerwa Na matangazo ya namna hii!
Mtu unashindwa kuweka bei hafu eti unatafuta wateja!
 
Wabongo biashara za umachinga tutaacha lini.. Unauza kitu weka bei.. Mimi yaani mtu anauza kitu hakina bei ananikera sana.. Namuona kama mwizi wa kimachinga machika kabisaaaa. Mambo ya kuuziana kitu cha buku 5 kwa elfu 50. Tupo nyuma sanaaaaaa. Tunapenda kazi kidogo malipo milioni mia 8.
 
Yaani nyie ndio mnakwamisha kabisa e-commerce bongo kupevuka kwa mambo yenu ya kishambaaaaa. Sasa sijui wataka bei mpk tuanze kupigiana simu. Au kila mteja ana bei yake!!!? Dah mnauwa e-commerce mzeeee... Kama huiwezi achaaaa
 
Wabongo biashara za umachinga tutaacha lini.. Unauza kitu weka bei.. Mimi yaani mtu anauza kitu hakina bei ananikera sana.. Namuona kama mwizi wa kimachinga machika kabisaaaa. Mambo ya kuuziana kitu cha buku 5 kwa elfu 50. Tupo nyuma sanaaaaaa. Tunapenda kazi kidogo malipo milioni mia 8.

Akitaja bei huenda biashara ikadoda
Kuna watakaosema hiyo Nike gani inauzwa elfu 40 wakati inauzwa $89 Footlocker ama Finishline stores
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom