Pasua njambe

Pasua njambe

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
2,175
Reaction score
4,180
Kaunda suite ,bugaluu , sasa siku hizi naona watu wapo wapo tu ,hata usipoweka kiraka inaonekana ni mtindo.
Mishono imebaki kwa kina dada tu ,labda na wale jamaa kutoka nyanda za juu,
 
Kabisa kabisa siku hizi mishono ya nguo imekuwa ya ajabu sana hasa kwa wanaume Bora wanawake au wanyakyusa
 
Back
Top Bottom