Ndege: KUNGURU
Tunda: Kungu
Samaki: Nguru
Silaha: Rungu
Una swali jingine??
Ndege: KUNGURU
Tunda: Kungu
Samaki: Nguru
Silaha: Rungu
Una swali jingine??
Ndege: KUNGURU
Tunda: Kungu
Samaki: Nguru
Silaha: Rungu
Una swali jingine??
PASUA KICHWA unipe jibu
Kuna NDENGE jina lake:-
1. Ukitowa herufi 2 za mwisho unapata jina la TUNDA
2. Na ukitowa herufi 2 za mwanza unapata jina la SAMAKI
3. Pia ukishapata jina hilo la samaki ukiligeuza unapata unapata jina la SILAHA
If you are talent give me the name of bird....???
Ndege: KUNGURU
Tunda: Kungu
Samaki: Nguru
Silaha: Rungu
Una swali jingine??
Mkubwa !
Na unavyojua kuyanyanyasa maswali mboga! Una ubavu nikuletee ya kwangu maswali ugali ?
Umekosea.......hakuna kitu kinaitwa ndenge.......labda dengelua.......
Thread Closed
Ninalo:
Kwa nini unamkataa mtoto wako yule wa kule Tanga?
Kumbuka umefanana nae mpaka dimpoz.
Umekosea.......hakuna kitu kinaitwa ndenge.......labda dengelua.......
Ndenge........! NO......
Mkubwa !
Na unavyojua kuyanyanyasa maswali mboga! Una ubavu nikuletee ya kwangu maswali ugali ?
Kwa lugha ya Kilingala...ndenge maana yake "nifanye".
Ninalo:
Kwa nini unamkataa mtoto wako yule wa kule Tanga?
Kumbuka umefanana nae mpaka dimpoz.
duniani wawili wawili...baba yake alitumia kondomu niliyotoka kuitumia