Kuna ndege jina lake:-
1. Ukitowa herufi 2 za mwisho unapata jina la TUNDA
2. Ukitowa herufi 2 za mwanzo unatapata jina la SAMAKI
3. Pia ukishapata hilo jina hilo la SAMAKI unakiligeuza unapataa jina la SILAHA
If you are talent give me the name of bird ?????????