Pastor Chris wa Nigeria asema "Magufuli is a wise president" kwa kugundua udhaifu wa vipimo vya Corona

Kuna watu hudhani kuwa wana akili kuliko Rais Magufuli, ila Magufuli ana akili nyingi kuliko vilaza wengi Tanzania!

Magufuli ali challenge ufanisi wa vipimo vya Covid-19, lakini vilaza wengi wakaibuka kumkosoa Kama vile alikuwa ame draw conclusion kwenye issue.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nakuunga mkono kuwa magufuli ndio anaeongoza kwa kuikimbia corona Kwa kujificha uvunguni, umesikia swahiba wake mkuuu odinga alivyomsema kwenye vyombo vya habari? Kuwa magufuli anashauriwa vibaya na watu waliomzunguka kwa kumsifia ndio maaana anafanya mambo ya kushangaza ambayo watu hawaaamini kuwa anayafanya Mkuu wa nchi amesema kuwa anamtafuta Lakini hampati tangu hili janga lianze amesema kuwa Kama anamsikiliza huko aliko aachane na hao washauri wake afuate taratibu Kama zinazofanywa na marais wenzake
Huyo Rafiki yake Mkubwa sasa wewe ndio hao ambao mmesemwa akina mwamposha, akina gwajima akina makonda wasio soma akina wewe na hiyo kauli ni mbaya Sana kaaamua kumwaanika, sasa jiulize wakiwa wenyewe wanamsemaje Kama sio matusi kwenda mbele? Acha kushangilia ujinga hao unaowasema kuwa wamempongeza ndio hao hao tyaip ya mwamposha, na gwajima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madaktari wenu wanasoma yaliyoandikwa na mzungu, wanapima yaliyoandikwa na mzungu, na wanatumia vifaa viliyotengenezwa na mzungu kupima yale ambayo mzungu ameyaita ni "magonjwa".

If they can temper with the kits, hata wakipima mchanga unaweza ukaonekana ni fungus. Na madaktari wenu wakaambiwa kwamba mchanga ni fungus, nao wakaamini kwasababu vipimo vya mzungu vimesema mchanga ni fungus.

Wanatengeneza illusions za vijidudu feki. Ukizipima antibodies, wanakwambia umepima kirusi cha Ukimwi. Meza dawa.

Waambie wakupe hicho kirusi cha ukimwi kama kipo! Hakipo, kwasababu wanatengeneza vifaa vinavyoweza kupima antibodies na zikaonekana ni kirusi.

Waulize hao madaktari wenu uchwara, hivyo vifaa vya kupima virusi wamevitoa wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la wataalamu wetu afya wamegeuza taaluma zao kama dini

Wakishasema maaskofu wamkuu wa ughaibuni wao ni Tawire tu

Hofu yangu ni kwamba, tutakapokua karibu na usahihi sana wa maamuzi yetu

Basi tutakuwa karibu na hatari ya kutolewa mfano kwa wengine..njaa mbaya sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nakuunga mkono kuwa magufuli ndio anaeongoza kwa kuikimbia corona Kwa kujificha uvunguni, umesikia swahiba wake mkuuu odinga alivyomsema kwenye vyombo vya habari? Kuwa magufuli anashauriwa vibaya na watu waliomzunguka kwa kumsifia ndio maaana anafanya mambo ya kushangaza ambayo watu hawaaamini kuwa anayafanya Mkuu wa nchi amesema kuwa anamtafuta Lakini hampati tangu hili janga lianze amesema kuwa Kama anamsikiliza huko aliko aachane na hao washauri wake afuate taratibu Kama zinazofanywa na marais wenzake
Huyo Rafiki yake Mkubwa sasa wewe ndio hao ambao mmesemwa akina mwamposha, akina gwajima akina makonda wasio soma akina wewe na hiyo kauli ni mbaya Sana kaaamua kumwaanika, sasa jiulize wakiwa wenyewe wanamsemaje Kama sio matusi kwenda mbele? Acha kushangilia ujinga hao unaowasema kuwa wamempongeza ndio hao hao tyaip ya mwamposha, na gwajima

Sent using Jamii Forums mobile app
Akili Kama zako ndiyo zinazoleta kutokuelewa mambo, yaani Magufuli anatafutwa na Raila Odinga ila hapatikani! Yaani Magufuli kazima simu au! Use your common sense on easy issue like this.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom