Pastor Chris wa Nigeria asema "Magufuli is a wise president" kwa kugundua udhaifu wa vipimo vya Corona

Wakenya wamegeuzwa biashara na WHO. Uhuru anapewa chake na shirika la kibeberu, anapima watu na vifaa vilivyojazwa virus feki.

Matokeo yake kila mtu ni corona positive.

Corona is a scam in the first place. Hakuna kitu kama corona. Ni upumbafu na ujinga mtupu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Duh... Mkuu, hata vifo vinavyosababishwa na huo ugonjwa ni vya kubumba?
 
Sikiliza wataalam wanachokisema hiki acha siasa kwani Pastor Chris yeye ni nani? ni mtaalam wa maabara?
Screenshot_20200507-010838_Twitter.jpeg
Screenshot_20200507-010805_Twitter.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakenya wamegeuzwa biashara na WHO. Uhuru anapewa chake na shirika la kibeberu, anapima watu na vifaa vilivyojazwa virus feki.

Matokeo yake kila mtu ni corona positive.

Corona is a scam in the first place. Hakuna kitu kama corona. Ni upumbafu na ujinga mtupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
if corona its a scam subiria ikufikie ikufurahishe
 
Wakenya wamegeuzwa biashara na WHO. Uhuru anapewa chake na shirika la kibeberu, anapima watu na vifaa vilivyojazwa virus feki.

Matokeo yake kila mtu ni corona positive.

Corona is a scam in the first place. Hakuna kitu kama corona. Ni upumbafu na ujinga mtupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
nawaelezaga hivi watu lakini wanapinga.... iblv corona ipo but iko ki propaganda zaidi...ni mradi wa wajanja fulani
 
Wakenya wamegeuzwa biashara na WHO. Uhuru anapewa chake na shirika la kibeberu, anapima watu na vifaa vilivyojazwa virus feki.

Matokeo yake kila mtu ni corona positive.

Corona is a scam in the first place. Hakuna kitu kama corona. Ni upumbafu na ujinga mtupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuombea isikubamize wewe, ila imkabe mtu wako muhimu ili uelewe ukubwa wa tatizo. Dunia nzima inalia lakini wewe na huyo bosi wako mpenda mapambio mnaona ni utani tu!!

Japo sikubaliani nawe, yawezekana ugonjwa uliopo ni mafua makali kama yaliyotokea mwishoni mwa mwaka 2019. Kwa watu wenye ngozi nyeupe, hata mafua ya kawaida huwasumbua kwelikweli.

Yawezekana pia, vifo ninavyotokea sasa hivi Afrika, ni vya magonjwa mengineyo, ila kwa kuwa kuna hofu ya mlipuko wa COVID-19, na kwa kuwa vifo awali havikuwa vikitangazwa kama sasa, kila kifo kinahusishwa na korona. Wengine, hasa wanaotengwa kwa kisingizio cha kuambukizwa, wanakufa kwa kukosa tiba sahihi ya magonjwa mengine yanayowasumbua. Mungu azilaze roho zao pema peoni.

Iwapo kweli kuna huo ugonjwa, usingechukua maisha ya watu hasa wenye kipato kizuri na wa mijini. Kwa mfano, machinga, mama ntilie, wahudumu wa mabaa, na wachumia tumbo mijini, kutwa wanakutana na watu wengi lakini wako salama tu.

Hofu itagharimu maisha ya wengi, hasa kama watumishi wa afya, kwa sababu hiyo, watawanyanyapaa wagonjwa.

Kwa vyovyote vile tuzingatie kanuni za afya kujikinga dhidi ya maambukizi ya COVID-19. Kufanya hivyo, kutatusaidia pia kuimarisha afya zetu dhidi ya magonjwa mengine na hatimaye kutupunguzia gharama za matibabu. Kinga ni bora kuliko tiba.

JIKINGE UMKINGE JIRANI

JILINDE UWALINDE WAPENDWA WAKO
 
Nakuombea isikubamize wewe, ila imkabe mtu wako muhimu ili uelewe ukubwa wa tatizo. Dunia nzima inalia lakini wewe na huyo bosi wako mpenda mapambio mnaona ni utani tu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Nami nakuombea MUNGU akujalie busara na hekima ya kuthamini utu na heshima ya binadamu mwenzio, kwani hatujui siku wala saa tutakayohitaji msaada wake.

JIKINGE UMKINGE JIRANI

JILINDE UWALINDE UWAPENDAO
 
Unawajua watu kama akina Tb Joshua , Chris’s wakisema “wise man “ wanamaanisha nini? Hawa ni watu wa “mtandao” wa giza na wakikuita wise man manake upo kwenye mtandao wao!
Akili ndogo hawawezi kukuelewa... Watachukulia tafsiri ya moja kwa moja... Lakini hii ni ile kwa kiswahili tunaita wazee wa busara

Jr
 
Sikiliza mwenyewe

Amemtaja kama 'a smart guy' na 'a wise president'

Amemaliza kwa kusema "is time to think"
View attachment 1441992
I didn’t know there many stupid people out there around the world.
Alichofanya magufuli ni kupitisha gari juu ya reli. Gari haitapita kwa sababu gari haijatengenezwa kwa ajili ya kupita kwenye reli.
Simple logic.
Why many stupid people outa there?!!!
 
Hapana bado yuko sahihi kabisa.. Kwa tafsiri ya kiswahili ni wazee wa busara.. Naamini unajua maana yake kwenye hili

Jr
Mkuu kuna siku nitaandika kuhusu mtazamo wako juu ya watumishi wa Mungu.. kuna mahali hauko sahihi na inahitaji ufunuo kuweza kugundua.. nimesoma sana maandishi yako na mpaka leo sijajua huwa unapata wapi ujasiri wa kuhukumu watumishi.
 
WHO haifanyi biashara na Corona sio scam.Corona ipo na imethibitishwa na mabeberu na wasio mabeberu.

Back
Top Bottom