Blueboy Jr
JF-Expert Member
- Jan 9, 2024
- 511
- 832
Tundu bovu
Vipi kuhusu hiziMETA password moja kwa account zote.
Yaani unaingia Facebook, Instagram, WhatsApp na apps zingine za meta kwa password moja .
Sasa vip mtu akidaka password yako ana access kote daah. Hii imekaaje wakuu.
View attachment 3661489
Again;
Username in WhatsApp na sio number tenaa coming soon!
Mkuu bado meta Apps ni very sensitive sanaa mfn Facebook, Instagram WhatsApp zote zina connect ndg wa karibu &friends wa mhimu. Ni rash mtu kuaza kukuhalibia akipata access. Mfn utapeli, matusi etcVipi kuhusu hizi
Play store
Chrome
Drive
Gmail
Photos
Gemini
Sheets
Docs
Google calendar
Google One
Google meet
Message
Contacts
Google map
Google translate
Google lens
YouTube
YouTube music
YouTube Tv
Earth
Sahihi lakn hizi platform tofauti sanaa na madhara yake mtu akipata access ni tofauti piaMbona Google au Apple unatumia email moja kwenye services zao nyingi tu!
Yes of course but in term of security bado itakuwa very risk sanaaUzuri wa huu mfumo ukihisi akaunti moja iko hatarini, utaweza ku-log out vifaa vyote kutoka sehemu moja tu.
Mfumo una risk kubwa if you are a careless user. Lakini kama umewasha ulinzi wote wa ndani yani 2FA na Security Alerts, unakuwa salama sana na maisha yanakuwa rahisi kwa sababu unadeal na password moja tu makini.Yes of course but in term of security bado itakuwa very risk sanaa
Sahihi ngoja tuone maan most users wa hiz platform za Meta ni strangers wa mitandao esp mambo ya security including 2fa accessMfumo una risk kubwa if you are a careless user. Lakini kama umewasha ulinzi wote wa ndani yani 2FA na Security Alerts, unakuwa salama sana na maisha yanakuwa rahisi kwa sababu unadeal na password moja tu makini.