Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,493
- 108,831
Mimi bebi wangu, piko wa moyo wangu Matola kaweka. Password, ila i dont fret at all! Sitishiki nayo kabisaaa!
WHY? BCAUSE I TRUST HIM, AND I TRUST ME THAT HE WAS NOT A MISTAKE! Mambo mengine private kama balance za Mpesa, na bank kwa wale wa mobile banking, maugomvi ya kifamilia, bosi anakipa za uso, your partner doesnt have to know!
Halafu weweeeeee
kubwa la maadui is finally in love, hongera bwana shemeji
nimefanyaje tena husband.............
kubwa la maadui is finally in love, hongera bwana shemeji
jiandae kuja kulimwaga huno kwenye wedding party, hapa mambo ya uchumba sugu hayana nafasi.
Ndo manake! Mtu chake atiii!
nani? matola huyuhu wa JF au? haki ya nani kuna watu wana bahati za mtendeMimi bebi wangu, piko wa moyo wangu Matola kaweka. Password, ila i dont fret at all! Sitishiki nayo kabisaaa!
WHY? BCAUSE I TRUST HIM, AND I TRUST ME THAT HE WAS NOT A MISTAKE! Mambo mengine private kama balance za Mpesa, na bank kwa wale wa mobile banking, maugomvi ya kifamilia, bosi anakipa za uso, your partner doesnt have to know!
Najisahau kama nimepanda cheo, nimekuwa muke ya ENTREPRENEUR, mambo ya my piko ndo unakuwa ze boss wangu, jioni we count OUR/YOUR money! Nimezoea ku husttle na kubobea kwenye INTREPRENEURSHIP fullfeeling other peoples dreams n living others peoples legacys.jifunze kusahau habari za boss, am the boss and you are my right hand and assistant. incase niko mgonjwa hakuna kitakachosimama.
yani wewe, yule mia ushammwaga tayari?
Wanaoweka password hawajiamini na simu zao.
nani? matola huyuhu wa JF au? haki ya nani kuna watu wana bahati za mtende
hahaaaa mia yupo niko nae bado
sa hivi nataka niongeze list yule mpwa wako lol
hahaaaa mia yupo niko nae bado
sa hivi nataka niongeze list yule mpwa wako lol
hahaha uchumba sugu, ndo ukaombe muongozo haraka, kuna watu wamekaa pembeni wanasubiri ukosee tu wapindue jahazi, me mwenyewe mmoja wao natamani kujua bwana shemeji una nini hadi mtu kasahau habari za mabosi