Passports yangu ya 2014 mpya au ya kitambo

Passports yangu ya 2014 mpya au ya kitambo

geesten66

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2017
Posts
2,328
Reaction score
2,960
Habari ndugu

Nilisikia kuna passport mpya zimetoka yani wamebadilsha je hii yangu ya 2014 mpya au.

Maana passport yangu nilitengeneza kama emergency. Kwa sasa nataka kuitumia
1543681857304.jpeg
 
Ni mpya mkuu itachakaaje akati ina onekana aija wai ata kutumiwa [emoji12] boosted
 
Inakubalika mipakani kwa sasa. Mwisho wa mda wa pasi hizo za kusafiria ni 2020 kama kumbukumbu zangu ziko sawia.
 
Kila passport ni miaka kumi, nadhani mpaka itakapoisha, si imeandikwa lakini expire date yake,
 
Back
Top Bottom