profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,596
- 3,433
nyingine kama hiyo iliua 190,dk 12 baada ya kupaa.Toleo jipya la ndege linatoka, rubani anasoma manual leo pamoja na troubleshooting kesho anarusha ndege, wawe serious na maisha ya watu