elfusifuri
Senior Member
- Jul 25, 2018
- 165
- 187
Kwahiyo waliopoteza maisha ni 14UK and Britain are not the same. One is the subset of the other
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo waliopoteza maisha ni 14UK and Britain are not the same. One is the subset of the other
Mkuu, kwanini usiwepo wewe ili utuwakilisheWatanzania tumetia aibu kimataifa..yaani hakuna hata mmoja alekua kwenye hiyo ndege!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, matoleo mapya sio total overhaul, ni increments ndogo ndogo toka version ambazo zipo kabla ya hili toleo jipya.Toleo jipya la ndege linatoka, rubani anasoma manual leo pamoja na troubleshooting kesho anarusha ndege, wawe serious na maisha ya watu
Na wewe utajiita mtanzania watu kama nyie ni wa kukata shingo tu mkasherekee marekaniHili li dream liner letu litaanguka lini?
Hili li dream liner letu litaanguka lini?
Siily and irrational as you sound, on one hand you're advancing the proposition the plane was allegedly shot down by terrorists without any proof to back it this up, and on the other hand you claim the plane displayed evident signs of issues with vertical speed after take-off. So what really are you trying to tell us?An Ethiopian airline boeing 737 Max airplane has crashed en route from Addis Ababa to Nairobi . CARRYING 149 passengers and 8 crew members .
Note:
Kenya's Transport secretary says there were passengers from at least 35 countries on board the Ethiopian airlines flight.
The weather was good and averything was fine....
The plane is new with only 4 months old
After taking off plane was having a problem with speed
Prime minister of somalia office was poosibly on board and hence the flight was targeted.
&&&&&&&&&&&
7 UK
32 Kenya
18 Canada
8 China
5 Netherlands
6 Egypt
9 Ethiopia
7 France
4 India
8 Italy
4 Slovakia
8 US
4 UN passport
3 Russians,
2 Moroccan
2 Israel
1 Belgian
1 Ugandan
1 Yemen
1 Sudanese
1Togo
1 Mozambique
1Norwegian
Still number increase ....... Possible the plane was targeted
Sent using Jamii Forums mobile app
Updates;
The plane showed unstable vertical speed after takeoff ..... nose dived
This was the same thing happened on Lion Air Crash Indonesian which crashd after 12 min of takeoff
Eyewitness;
The blast and fire were so strong ....Bekele Gutema ,who says he was near the crash site around the town of Bishoftu.
![]()
Watanzania hamna...!!!
Thats was old days. Ndege ziliuwa na manual operating board. Siku izi everything ni computerised.Pilots need to learn to PILOT ...Not rely on Computers only to do it for them ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiwe
Pepo tokaaaaaa.... in Jesus nameHili li dream liner letu litaanguka lini?
Umenikumbusha Oklahoma city bombing 1995Hahaha watanzania kama mosad, walijua hiyo ndege ingeanguka wakatonyana nchi nzima, na waliitikia wito hakuna aliyepanda hiyo ndege.
Mpaka sasa hakuna mtanzania aliyetaarifiwa kufariki kwenye ajali hiyo.
Na riport kutoka eneo la tukio, ni mimi mtanzania mzalendo wa....
Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania tumetia aibu kimataifa..yaani hakuna hata mmoja alekua kwenye hiyo ndege!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah, surely? . So ulitamani awepo mtanzania....Watanzania tumetia aibu kimataifa..yaani hakuna hata mmoja alekua kwenye hiyo ndege!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili li dream liner letu litaanguka lini?
Hili li dream liner letu litaanguka lini?
Hauko serious mkuu, Rocket za kwenda outer space ziko automated kwa kiasi kikubwa sembuse ndege tu. Kwa taarifa yako, bila computer assisted flight, ajali zingekuwa ni nyingi zaidi. Binadamu anafanya makosa zaid kuliko computers. When you are a pilot una deal na flight parameters nyingi sana ambazo kwa akili ya kawaida huwezi kuchakata.Pilots need to learn to PILOT ...Not rely on Computers only to do it for them ...
Sent using Jamii Forums mobile app