M Mdanganywa JF-Expert Member Joined Jun 15, 2009 Posts 620 Reaction score 343 Jun 18, 2017 #1 Wakuu, Muda wa paspoti yangu umeisha na hivyo nataka ku-renew. Je, nitakapoenda pale Mamb ya ndani nahitaji kukamilisha amambo gani ili nipatiwe paspoti nyingine?
Wakuu, Muda wa paspoti yangu umeisha na hivyo nataka ku-renew. Je, nitakapoenda pale Mamb ya ndani nahitaji kukamilisha amambo gani ili nipatiwe paspoti nyingine?
Akili Unazo! JF-Expert Member Joined Feb 18, 2009 Posts 3,930 Reaction score 4,939 Jun 18, 2017 #2 Mdanganywa said: Wakuu, Muda wa paspoti yangu umeisha na hivyo nataka ku-renew. Je, nitakapoenda pale Mamb ya ndani nahitaji kukamilisha amambo gani ili nipatiwe paspoti nyingine? Click to expand... Mwanzoni uliletewa au ulifuatilia mwenyewe. Nahisi hakuna kilichobadilika mahitaji ya awali ni yaleyale
Mdanganywa said: Wakuu, Muda wa paspoti yangu umeisha na hivyo nataka ku-renew. Je, nitakapoenda pale Mamb ya ndani nahitaji kukamilisha amambo gani ili nipatiwe paspoti nyingine? Click to expand... Mwanzoni uliletewa au ulifuatilia mwenyewe. Nahisi hakuna kilichobadilika mahitaji ya awali ni yaleyale
shatisuruali JF-Expert Member Joined Jul 28, 2016 Posts 966 Reaction score 3,051 Jun 18, 2017 #3 kwani unashida nayo sana?? Mi nakushauri achana nayo, fanya mambo ya maana tu kwa sasa.
Tuwaseme JF-Expert Member Joined Oct 8, 2014 Posts 645 Reaction score 1,198 Jun 18, 2017 #4 Siku hizi uki renew Passport ni Kama unaomba upya. Nenda na viambatanisho vyote ulivyotumia mara ya kwanza
Siku hizi uki renew Passport ni Kama unaomba upya. Nenda na viambatanisho vyote ulivyotumia mara ya kwanza