Pasco anajiandaa kushika kurugenzi ya mawasiliano ikulu kwenye ufalme wa Lowasa.
Huyu Pasco wa JF leo ameniweka njiapanda pale alipokuwa anahitimisha sherehe za 8'8, akiwa na kundi kubwa la wafanyakazi wa Ikulu.
Amesema huku akijiamini, kuwa "Zamani Ikulu ilikuwa ni Mahali Patakatifu, lakini sasa hivi JK amepafanya pamekuwa Down To Earth na pako Reachable"!
Kwa kauli hiyo Pasco anaweza kutafsiriwa kwa namna 2.
-Aidha anaponda Ikulu ya enzi za Mwalimu kuwa iliibana mno Ikulu,
-Au anaponda Ikulu ya JK kuwa imekuwa too linient kwa raia na wageni.
Wadau wenzangu mnaisomaje kauli hiyo?
Hapana cheo cha Udc ni kidogo sana kwa Pasco, Salva aanze kufungasha virago vyake maana ni lazima aondoke na Mkwele wake.mmmmmmmh,mdau sio kuwa mkuu wa wilaya ya MBAGARA RANGI 4?????
U-DC ni nafasi ndogo mno kwa Pasco.Anasaka UDC