GE2025 Paschal Mayala: CCM Itakuwa inapambana na kivuli chake kama CHADEMA Haitashiriki uchaguzi

GE2025 Paschal Mayala: CCM Itakuwa inapambana na kivuli chake kama CHADEMA Haitashiriki uchaguzi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
8,551
Reaction score
20,346
GT
Hapa ngosha Mayala nadhani alikuwa ameshukiwa na roho mtakatifu na kuongea ukweli.

Msikilize, anakasirishwa sana na maCCM kuendekeza unafiki nafiki na kuficha ukweli aomba simba aachiwe aje ulingoni kupambana na Bi kizimkazi.

Alichozungumza Paschal Mayalla: Kazi ya uandishi wa habari ni kama wahadhiri, tunatakiwa kuwa wakweli bila kupindapinda. Nakerwa na hii tabia ya kuzungumza kusema kuwa "Kama CCM itarudi madarakani kwenye uchaguzi". Hii sentensi mimi siipendi kwa sababu hauwezi kushindana na kivuli halafu ukasema "Kama utarudi".

Pia soma GE2025 - Paschal Mayala: Pongezi kwa serikali ya CCM, tume ya uchaguzi kwa kuweka usawa

Mimi nakushauri Prof Kitila unaweza kumshauri Dada Mkubwa hata kale kasimba ka Kizimkazi, kaacheni kidogo halafu muone. Hapo mtakuwa mmeshinda kweli.
 
GT
Hapa ngosha Mayala nadhani alikuwa ameshukiwa na roho mtakatifu na kuongea ukweli.

Msikilize, anakasirishwa sana na maCCM kuendekeza unafiki nafiki na kuficha ukweli aomba simba aachiwe aje ulingoni kupambana na Bi kizimkazi.

View attachment 3399963
Angalau kwa dakika alizopewa amekuwa mkweli wa nafsi yake.

Ccm hawajawahi kupenda ushindani wa haki na kweli. Wanataka chaguzi wanazozi remote
 
GT
Hapa ngosha Mayala nadhani alikuwa ameshukiwa na roho mtakatifu na kuongea ukweli.

Msikilize, anakasirishwa sana na maCCM kuendekeza unafiki nafiki na kuficha ukweli aomba simba aachiwe aje ulingoni kupambana na Bi kizimkazi.

View attachment 3399963
CCM kujitangazia ushindi kwenye uchaguzi kama huu ni sawa na mtu anapiga punyeto halafo akitoka hapo anawaringishia wenzake kuwa ametoka kugonga pisi kali, ni ujinga tu.
 
Back
Top Bottom