Pascal ni mchumia tumbo, tumpuuze

Haijalishi Paskali amefanya nini ila we kutamani nchi ipate janga la corona umekosea sana. Kutamani nchi ipate corona that mean huwapendi hata ndugu zako maana hii kitu ikiingia haichagui.. So kama uko tayari kwa hii hali si maana yake umekata tamaa! Sasa kwanini usivae tu kitanzi ukajinyonga? Si itakuwa sawa tu na kuombea taifa lipate corona maana ikija si inaweza pia kupita na wewe! Man up bro
 
Jamaa ni mkabila asiye jificha kabisa na nilisha mdharau kitambo sana, nakwasasa ametawaliwa kabisa na kiburi cha uzima
 
Kwani wewe ndio Pascali?
 
Kinacho matter jf sio "real ID" or "fake ID".

Ni mjinga tu anaepoteza muda wake kuangalia hivyo vitu; soma comments za watu uelimike, sio kusoma ID name; ushamba tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…