Ni kweli kabisa, nimetangaza nia kugombea ubunge, na sikutangaza ni jimbo gani au kupitia chama gani, ili kuepuka taking undue advantage dhidi ya wagombea wengine ambao hawana access na media.
Wana JF wenzangu, naombeni mniunge mkono katika azma yangu hii.
Paskali Mayalla
Ni kweli kabisa, nimetangaza nia kugombea ubunge, na sikutangaza ni jimbo gani au kupitia chama gani, ili kuepuka taking undue advantage dhidi ya wagombea wengine ambao hawana access na media.Mwandishi nguli na Mchambuzi Mkongwe wa habari Pascal Mayalla ametangaza nia ya kugombea ubunge.
Amesema hivyo baada ya kuona mapungufu mengi kwenye bunge lililopita, amejipima na kuona anatosha kuwania hiyo nafasi.
Hajataja Jimbo, Wala Chama atakachotumia kuwania hiyo nafasi...
Kawe kunani? Ulitakiwa uwe na majibu. Kila la kheri!Ni kweli kabisa, nimetangaza nia kugombea ubunge, na sikutangaza ni jimbo gani au kupitia chama gani, ili kuepuka taking undue advantage dhidi ya wagombea wengine ambao hawana access na media.
Wana jf wenzangu, naombeni mniunge mkono katika azma yangu hii.
Paskali Mayalla
Unaungwaje mkono wakati mchakato umekuwa wa usiri?Ni kweli kabisa, nimetangaza nia kugombea ubunge, na sikutangaza ni jimbo gani au kupitia chama gani, ili kuepuka taking undue advantage dhidi ya wagombea wengine ambao hawana access na media.
Wana jf wenzangu, naombeni mniunge mkono katika azma yangu hii.
Paskali Mayalla
Kawakilishe vyema jimbo letu la JFNi kweli kabisa, nimetangaza nia kugombea ubunge, na sikutangaza ni jimbo gani au kupitia chama gani, ili kuepuka taking undue advantage dhidi ya wagombea wengine ambao hawana access na media.
Wana JF wenzangu, naombeni mniunge mkono katika azma yangu hii.
Paskali Mayalla
Ni kweli kabisa, nimetangaza nia kugombea ubunge, na sikutangaza ni jimbo gani au kupitia chama gani, ili kuepuka taking undue advantage dhidi ya wagombea wengine ambao hawana access na media.
Wana jf wenzangu, naombeni mniunge mkono katika azma yangu hii.
Paskali Mayalla
Je humu JF kutakua na kituo cha kupigia kura?Ni kweli kabisa, nimetangaza nia kugombea ubunge, na sikutangaza ni jimbo gani au kupitia chama gani, ili kuepuka taking undue advantage dhidi ya wagombea wengine ambao hawana access na media.
Wana JF wenzangu, naombeni mniunge mkono katika azma yangu hii.
Paskali Mayalla
CCM oyeeee! Kanda pendwa tuu hakuna jingine.Ni kweli kabisa, nimetangaza nia kugombea ubunge, na sikutangaza ni jimbo gani au kupitia chama gani, ili kuepuka taking undue advantage dhidi ya wagombea wengine ambao hawana access na media.
Wana JF wenzangu, naombeni mniunge mkono katika azma yangu hii.
Paskali Mayalla
Hongera Sana mkuu kapambane, Sema popote pale ulipo umekuwa Balozi bora kabisa wa JF hujawahi kukosa kuitaja.Ni kweli kabisa, nimetangaza nia kugombea ubunge, na sikutangaza ni jimbo gani au kupitia chama gani, ili kuepuka taking undue advantage dhidi ya wagombea wengine ambao hawana access na media.
Wana JF wenzangu, naombeni mniunge mkono katika azma yangu hii.
Paskali Mayalla
Paskali ni wewe huyo au kivuli chako?Ni kweli kabisa, nimetangaza nia kugombea ubunge, na sikutangaza ni jimbo gani au kupitia chama gani, ili kuepuka taking undue advantage dhidi ya wagombea wengine ambao hawana access na media.
Wana JF wenzangu, naombeni mniunge mkono katika azma yangu hii.
Paskali Mayalla
Mwakyembe kwisha habari yake!Ni kweli kabisa, nimetangaza nia kugombea ubunge, na sikutangaza ni jimbo gani au kupitia chama gani, ili kuepuka taking undue advantage dhidi ya wagombea wengine ambao hawana access na media.
Wana JF wenzangu, naombeni mniunge mkono katika azma yangu hii.
Paskali Mayalla
Chama ccm jimbo tusubiri na tuoneTusubiri mpaka hapo atakapochukua fomu tutajua jimbo gani na chama gani!
Pascal Mayalla anashindana na askofu Gwajima kule Kawe!Mwandishi nguli na Mchambuzi Mkongwe wa habari Pascal Mayalla ametangaza nia ya kugombea ubunge.
Amesema hivyo baada ya kuona mapungufu mengi kwenye bunge lililopita, amejipima na kuona anatosha kuwania hiyo nafasi.
Hajataja Jimbo, Wala Chama atakachotumia kuwania hiyo nafasi...
Hawa hawa Wana JF ndio watanzania walioko huko maofisini, Masokoni, Machinga na sehemu mbalimbali hata kwenye Vyombo vya maamuzi...Je humu JF kutakua na kituo cha kupigia kura?
Kitawekwa jukwaa lipi.
Tuelekeze basi jinsi ya kukuunga mkono.