ladwa nampata alikua na kiwanda nadhani cha misumari eneo la misufini barabara ya chuo kikuu cha sua .
Bila shaka huko anafungua viwanda vipya, nasikia pia kingoluwira panachamgamka kukaribia na kihonda
Hahaha huu uchawi umeanza lini tena kwenye Siku takatifu, yaani chelsea hata mkituombea tufungwe hiyo haiwafanyi ninyi mje top four, tuombeeni mema tu hata kama hamtaki 😂😂