tinkanyarwele
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 2,008
- 1,955
Usioneshe hasira, ikiwezekana jipendekeze tena kwake, kwani huenda kaja alikuwa na mshikaji mwingine, akijiingiza tena ndani ya box, mpige vya kutosha then mdampu
Na anaweza asikutafute mazimaKuna mambo yanauma sana kabla ya pasaka kuna demu wangu tulipanga tukutane leo basi mm nimejiandaa nikapanda gari hadi meeting point nikaanza kutuma meseji kimya nimeganda hapo ww simu kimya nikaona bora niende coco bearch kupunguza hasira natafakari nimpe adhabu gani
1:aniludishie nauli yangu
2:ya pili anitafute yeye mwenyewe sjmfuati tena
nb wanawake muwe na utu sio kufanyiana mambo kama aya
for ur perspective ni dogokweli ww askari muoga hilo swala ni la kulileta huku kuomba ushauri
Hahahaha,Kuna mambo yanauma sana kabla ya pasaka kuna demu wangu tulipanga tukutane leo basi mm nimejiandaa nikapanda gari hadi meeting point nikaanza kutuma meseji kimya nimeganda hapo ww simu kimya nikaona bora niende coco bearch kupunguza hasira natafakari nimpe adhabu gani
1:aniludishie nauli yangu
2:ya pili anitafute yeye mwenyewe sjmfuati tena
nb wanawake muwe na utu sio kufanyiana mambo kama aya
Mrejesho
SAA 12:00 nipo coco bearch nikiwa najitukana Mara napata meseji yake eti tumbo linamuuma awezi shika simu
Kuna mambo yanauma sana kabla ya pasaka kuna demu wangu tulipanga tukutane leo basi mm nimejiandaa nikapanda gari hadi meeting point nikaanza kutuma meseji kimya nimeganda hapo ww simu kimya nikaona bora niende coco bearch kupunguza hasira natafakari nimpe adhabu gani

khaa tumbo linashika simuUshaambiwa tumbo linamkata... Samehe