Wana JF, ninaamini leo,wengi wetu tumefanya shopping na kugawa kadi kwa marafiki kwa ajili ya Pasaka. Ninapenda kuwaalika Jf members wote kujumuika na familia yangu,tusherehekee pamoja kupitia uzi huu! Karibuni sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.