Kamanda James Millya akiwa mle hakuna kitachoharibika! Huyu Kamanda ndiye dirisha la ukombozi wa wamasai kutoka katika mikono dhalimu ya sisiem!
Viongozi wa sisiem wamekuwa wakimsihi asiende majimbo ya umasaini maana atawaharibia lakini Kamanda ndio kwanza anakaza buti na kukamua sawasawa! Go Millya go...