Partimbo, ushindi lazima kwa CHADEMA

Partimbo, ushindi lazima kwa CHADEMA

VISEKI

Member
Joined
Jan 5, 2014
Posts
8
Reaction score
9
Uzinduzi wa kampeni kata ya Partimbo wafana wananchi walia wasema wanajuta kuichagua CCM.

Mh. Grace Kiwelu aunguruma pamoja na makamanda kutoka Arusha wakiongozwa na James Milya.

Stay tuned tutatupia picha soon.
 
Manyara , Kiteto nadhani hongereni wananchi kwa kujitambua
 
Kamanda James Millya akiwa mle hakuna kitachoharibika! Huyu Kamanda ndiye dirisha la ukombozi wa wamasai kutoka katika mikono dhalimu ya sisiem!

Viongozi wa sisiem wamekuwa wakimsihi asiende majimbo ya umasaini maana atawaharibia lakini Kamanda ndio kwanza anakaza buti na kukamua sawasawa! Go Millya go...
 
Jazia tu habari ilivyokuwa mkuu, hata picha zikikosekana poa tu
 
Back
Top Bottom