Participatory in project planning and management

Eliud chacha

Member
Joined
Aug 27, 2019
Posts
7
Reaction score
1
jamani msaada kuhusu kozi ya bachelor in participatory in project planning and management
 
Msaada wa nini sasa hapo? Be specific
 
inahitaj kujuh kama hii kozi mtu waweza kujiajir baada ya masomo au wawez kuajiriwa waq
 
Jifunze kuandika vizuri, hapa ni JF usiwe unaandika huku unadondosha herufi kama tupo Facebook.
By the way nenda chuo ukasome, hayo ya kuajiriwa na kujiajiri utayakuta mtaani utakapomaliza.
PPM ni kozi bomba tu ipo chuo cha Tengeru na kuhusu kuajiriwa utaajiriwa kama Afisa Mradi ( project officer/ project manager)
Uwezo wangu umeishia hapa.
 
asante
 
Back
Top Bottom