Part Time Jobs For Students | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Part Time Jobs For Students

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by coalman, Aug 11, 2011.

 1. c

  coalman New Member

  #1
  Aug 11, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  If you are a student looking for an online job that does not require an investment to obtain, probably you want a job with a schedule ...

  APPLY NOW
   
 2. paesulta

  paesulta JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2011
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Doh, najua tunataka kusaidiana na kufanya juhudi kuanzisha websites na vitu kama hivyo ambavyo vitasaidia wengine,lakini kama unaona lugha tatizo,basi jaribu kuomba msaada watu wakusaidie,maana haina maana unaanzisha website halafu lugha una chapia kiasi hiki.Omba msaada,si aibu kusaidiwa inapohitajika....
   
 3. M

  Mtized one Member

  #3
  Aug 11, 2011
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ujumbe umefika chakuzingatia sio Lugha yake....nivizuri amejaribu...kesho ataweza..gari haianzi safari kwa gia namba 3.....
   
 4. k

  kalisto Member

  #4
  Aug 11, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo sio lugha mama. Wachina wanatumia kichina wanafanyakazi
  mpaka nje ya nchi yao? Lugha nzuri haimaanishi unacontent kiasi gani.
  Chuku kilicho muhimu sepa.
   
 5. paesulta

  paesulta JF-Expert Member

  #5
  Aug 11, 2011
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Hakuna cha swala la ujunbe umefika. Tunapokosea inabidi tuambiane na tukubali makosa. Kama lugha ya watu haipandi basi tumia lugha yako,kwani angeandika kwa kiswahili angekosa nini? Tuamue moja. Kama tunataka tutumie kiingerza basi tujaribu kukitumia katika ufasa wake. Swala la ujumbe umefika,ni mambo ya uvivu haya,kuhimizana kufanya makosa.
   
 6. c

  cul_dude786 New Member

  #6
  Aug 12, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  naam..hapo sasa ndio tunaitana ka umoja..

  Yasiwe safari ya mwamba weye mburukenge kaenda wapi.
   
Loading...