Part time job

Part time job

isimbula

Member
Joined
Mar 15, 2013
Posts
15
Reaction score
0
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa jijini kutokana na hali ya uchumi kupanda nimeamua kutangaza kwenu wanajamii forum kwa yeyote aliye na nafasi kwenye ofisi yake ambayo iko wazi asisite kunisaidia ili niweze kujikwamua kimaisha naomba kuwasilisha.
 
Mwanza, Arusha Mbeya, Tanga au Dar jijini wapi?
 
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa jijini kutokana na hali ya uchumi kupanda nimeamua kutangaza kwenu wanajamii forum kwa yeyote aliye na nafasi kwenye ofisi yake ambayo iko wazi asisite kunisaidia ili niweze kujikwamua kimaisha naomba kuwasilisha.

Kiukweli maelezo yako hayana mantiki. Nina hofu juu ya uchuo kikuu wako. Sidhani kama maelezo haya yanatosha kwa mtu kukupa kazi.
Hujasema upo jiji gani, unasomea fani gani, unahitaji kazi ipi, kutokana na hiyo kazi muda wako utaumanage vipi n.k

Enewei pengine huu ndo ushauri wangu kabla ya wenye kazi kuja kukupa contact zao kwa ajili ya fursa.
 
Back
Top Bottom