Part time job needed

bornagain

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
3,383
1,354
Wadau mimi ni mtaalam wa IT nina uzoefu wa miaka minne kazini, natafuta kazi ya part time kuanzia mida ya saa mbili asubuhi mpaka saa nane na nusu mchana maeneo ya Dar es Salaam. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa yeyote atakaeguswa na tangazo hili
 
Watu wana utaalamu kama wako na zaidi na wanatafuta kazi Full time na hawapati wewe unatafuta kazi tena kwa masharti eti part time! uchumi wetu bado haujaweza kutengeza ajira nyingi kiasi hicho mpaka kuwe na watu wanaochagua wafanye kazi muda gani, dont be so much out of touch with reality, man! Watu wasiokuwa na kazi hapa Tanzania ni zaidi ya 60% halafu wewe unaongelea mambo ya part time job, Duh!
 
Nashukuru sana ndugu yangu,lakini kumbuka kunaweza kukawa hata na 90% ya watu wasio na ajira lakini Mungu akifungua milango yake mvua ikaninyeshea naweza nikapata.Anyway in God we trust
 
IT ni bahari kubwa sana.....na haiwezekani ukawa unajua kila kitu......taja ambavyo una zoefu navyo

upate kueleweka, kama database designer, webmaster, System analyst, networking, programmer, etc
 
It takes time kaka.... Kuna na subira... Ukiona muda wako unakwenda bure nadhani fanya kazi binafsi kaka...
 
IT ni bahari kubwa sana.....na haiwezekani ukawa unajua kila kitu......taja ambavyo una zoefu navyo

upate kueleweka, kama database designer, webmaster, System analyst, networking, programmer, etc

Degree in Computer Science, 2 years experience in IT System Support and 2 years in System Analyst total is 4 years, napatikana Dar 24/7
 
Back
Top Bottom