Part time job afya

Mlimani health center

JF-Expert Member
Nov 25, 2021
595
1,416
Habari wana jukwaa

Naomba msaada anaejua wapi naweza kupata kazi hata part time tu zinazohusiana na afya zile basics hasa mapokezi nikimaanisha kupima urefu na zile basic details kama BP sukari nk anishtue walau nipate ulaji..njaa inauma.

Nawasilisha
 
Instagram au social networks wanatumia jina gan
Umeferi sana kuniuliza hivo. Ni kitendo cha kutype tu bochi hospital google.
Alafu achaneni na mambo ya instagram vijana, people are working day today. Hawana mambo ya mtandao, si kila kitu kipo x au insta. Google.
Kiufupi ushaferi.
 
Asante mkuu ngoja nifwatilie Mungu akubariki sana

Taarifa kwa mchangiaji
Ushaferi
Ushafeli

MUNGU AKUBARIKI NA AKUONGOZE ASANTE
 
Back
Top Bottom