Doltyne
JF-Expert Member
- Aug 29, 2011
- 440
- 173
:::::::THIS POSITION IS NO LONGER AVAILABLE::::::
natafuta mtu wa kuingiza data kwenye website.
1. Atafanya kazi alipo (nyumbani au kokote awezako)
2. Awe na computer na modem yenye speed nzuri ya internet (gharama za internet atalipiwa)
3. Awe anaelewa vizuri sana tena sana internet/forums na social networks
4. Awe Ana uwezo mkubwa sana wa kutype haraka, kufupisha Habari na taarifa mbali mbali.
5. Ategemee kuandika, kunakili, kunukuu makala mbali mbali zipatazo 100 kwa siku, (training itatolewa).
6. Hii ni part time placement, kama ana soma au anafanya kazi nyingine inabidi athibitishe kuwa na skills za kujituma na kufanya kazi bila kushurutishwa au kusimamiwa.
7. Mshahara 250,000 kwa mwezi na utakuwa unapanda kadri atakavyoridhisha na utendaji.
8. Awe anafahamu KINGEREZA NA KISWAHILI kwa ufasaha sana. (kusoma na kuandika)
9: Awe na Elimu ya chuo chochote preferred uandishi wa Habari au IT.
10. Awe mpenda siasa na habari na awe na uwezo wa kuripoti kimaandishi hasa kwa ufupisho.
NB: NAFASI HII NI KWA WAKAZI WA DAR ES SALAAM TU.