Part II: Mapya ya Mjane aliyejitoa mhanga kwa Mh rais

Mmh, kuna umuhimu mkubwa sana wa kuandika wosia na kuishirikisha familia, ikiwezekana na awepo pia na mwanasheria au upitishwe hata mahakama ya mwanzo kabisa.

Familia zinabakia kwenye shida kwa kushindwa kuweka mambo wazi.

Ila sijawahi waamini wakenya hata kidogo, figisu figisu na forgery mingi mingi sana. Ukikakaa vibaya uweza pigwa za macho bila kuelewa.
 
Mods wanafiki, niliweka hili nikafungiwa, sasa mbona hili mwaliachaaaaaaaa? Mwatenda haki au uonevu? yapasa mnitake radhi kwa hili la sivyo haya nifungieni tena muone raha.

banned.png
 
Mama anashangaa hajaona security yoyoye inayomlinda mbali na Mhe. Rais Dr. Magufuli kumuagiza IGP kumpatia huyo mama security. Labda security amepewa bila yeye mwenyewe kujua - police in plain clothes. Pia inaonesha yeye anatarajia kuwa na bodyguard!

Barua zina mihuri faint na mingine imekatika!
 
Kweli kabisa na mbaya zaidi unaweza kuanzisha mada lakini baada ya muda ukitaka kufungua unaambiwa You do not have permission to view this page or perform this action sasa unajiuliza wewe ndiye uliyeianzisha halafu huruhusiwi kuiona wala kuchangia. Je utateteaje mada yako?
Mods humu ndani wanajifanyiaga mambo yaliyo kwenye mood zao wakati huo.
 
This sounds like a CON'

Kuna haja ya ku run background check between both side ili kujua ukweli kabla ya kutoa hukumu..
 
Back
Top Bottom