Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,508
- 6,888
Imagene maada nzuri kama hi eti kuna wapumbavu wachache wanakejeri, hi nchi sijui ina laana? Hivi ni elimu tu kweli? Mbona majority ya members wa humu naonaga maandishi yao yanaonesha ni degree holders???? Tatizo ni nini? Kama TISS wanayasoma haya please let them do something please, ni kweli kwa mfumo tulionao ni ngumu wao kujitofautisha na ccm (ni UJINGA uliopitiliza ) but hata hili la uchumi na lenyewe hivi ni la kulidharau kweli???