Mkuu Kama ni propaganda Hukutakiwa hata kusoma hii Part 2 ,ungepita kimya kimya na kusoma mada zingine ziko nyingi mbona, kwanini uje kwenye propaganda?Hizi ni propaganda na uongo mtupu,sitak hata kujibu kitu maaana jamaa ana uwezo mdogo sana na anasimulia kikijiweni kijiweni kuliko utaalamu,ukisoma kwa makini utagundua hakuna hoja hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sishangai. Badala ya kutujuza hayo uyajuayo, unabeza. Kwamba una akili sana na kujua kila kitu ilhali hata kutoa dondoo tu umeshindwa. Si vibaya kukosoana, ila kuwe kukosoana kwenye faida ya pande zote mbili. Wewe umekosoa tu na kuacha kila kitu kama kilivyo, ulitakiwa kumuelekeza jamaa wapi amekosea ili siku nyingine afanye kwa usahihi na sio kuleta mipashoHizi ni propaganda na uongo mtupu,sitak hata kujibu kitu maaana jamaa ana uwezo mdogo sana na anasimulia kikijiweni kijiweni kuliko utaalamu,ukisoma kwa makini utagundua hakuna hoja hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitaka niandikeje mkuu? Kusema nilikuwa Sudan ni kosa? Ukiona Part 3 utakuja mbio kuisoma wakati ume sema hutafatilia si kweli.Mwandishi anajaribu kutuaminisha uongo anajiexpand ili tubuild trust chek pale ameandika sept 11 alikuwa Sudan ili atuteke kifikra lakin ukijaribu kuisoma kiintellijensia hakuna kipya alichokiandika since part one anaandika vitu vinavyofikrika tu ,part one alijaribu kunishawishi lakin hii lakn hii part 2 ameharibu kabisa kanitoa kwenye moody ya kufatilia mkasa huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakubali Halafu unakataa, umekiri ujasusi wa kiuchumi upo sasa unapinga nini tena?Jamaa una propaganda sana, ndege zina matatizo ya kiufundi hata Boeng wenyewe wamekubaliana na hitilafu hiyoo.....
Mambo kama haya unapojaribu kuyaeleze unatakiwa uanze kwanza kwa kielezea mfumo wa ndege za kawaida kitaalamu na sio kwa Lugha za mtaani, then udadavue mfumo mpya wa ndege mpya za Boeng Max 8 then ujaribu kufananisha na kutuaminisha kwanini huo mfumo mpya ni salama na si kweli kama watu wanavyodai kwamba si salama na unachochea ajali.
Sikatai ujasusi wa kiuchumi upo na unafanya kazi pia kwa namna kubwa tu lakini kwa hii ishu ya Ndege za Boeng Max8 labda useme tu imetokea coincidence kwamba uzembe wa Boeng kuweka mfumo mgumu unaopelekea ajali za ndege utumike na makampuni mengine makubwa kujikuza zaidi kibiashara na kuneza propaganda ili kuishusha zaidi kibiashara kampuni ya Boeng.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu tuelezee kidogo ujasusi wa kiuchumi (kuiharibia biashara Boeing )ungefanyikaje??Jamaa una propaganda sana, ndege zina matatizo ya kiufundi hata Boeng wenyewe wamekubaliana na hitilafu hiyoo.....
Mambo kama haya unapojaribu kuyaeleze unatakiwa uanze kwanza kwa kielezea mfumo wa ndege za kawaida kitaalamu na sio kwa Lugha za mtaani, then udadavue mfumo mpya wa ndege mpya za Boeng Max 8 then ujaribu kufananisha na kutuaminisha kwanini huo mfumo mpya ni salama na si kweli kama watu wanavyodai kwamba si salama na unachochea ajali.
Sikatai ujasusi wa kiuchumi upo na unafanya kazi pia kwa namna kubwa tu lakini kwa hii ishu ya Ndege za Boeng Max8 labda useme tu imetokea coincidence kwamba uzembe wa Boeng kuweka mfumo mgumu unaopelekea ajali za ndege utumike na makampuni mengine makubwa kujikuza zaidi kibiashara na kuneza propaganda ili kuishusha zaidi kibiashara kampuni ya Boeng.
Sent using Jamii Forums mobile app
"Sikatai ujasusi wa kiuchumi upo na unafanya kazi pia kwa namna kubwa tu lakini kwa hii ishu ya Ndege za Boeng Max8 labda useme tu imetokea coincidence"Jamaa una propaganda sana, ndege zina matatizo ya kiufundi hata Boeng wenyewe wamekubaliana na hitilafu hiyoo.....
Mambo kama haya unapojaribu kuyaeleze unatakiwa uanze kwanza kwa kielezea mfumo wa ndege za kawaida kitaalamu na sio kwa Lugha za mtaani, then udadavue mfumo mpya wa ndege mpya za Boeng Max 8 then ujaribu kufananisha na kutuaminisha kwanini huo mfumo mpya ni salama na si kweli kama watu wanavyodai kwamba si salama na unachochea ajali.
Sikatai ujasusi wa kiuchumi upo na unafanya kazi pia kwa namna kubwa tu lakini kwa hii ishu ya Ndege za Boeng Max8 labda useme tu imetokea coincidence kwamba uzembe wa Boeng kuweka mfumo mgumu unaopelekea ajali za ndege utumike na makampuni mengine makubwa kujikuza zaidi kibiashara na kuneza propaganda ili kuishusha zaidi kibiashara kampuni ya Boeng.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu lisemwalo lipo, ma agent wa kijasusi huwa hawajulikani hovyo bali huhisiwa tu
Kuna haja ya kuweka walimu Wa kiswahili humu!Huwezi kuelewa kitu ambacho hujakitilia maanani...binafsi naelewa cricket japo sio mchezo ninaoupenda.
Hakuna uchonganishi hapo!Umeeleza vizuri ila mwishoni umeharibu umeweka maneno ya uchonganishi.
Sent using Jamii Forums mobile app