Ni kujiamini tu.
Nina mwanangu ana sifa kama zako ila pisi alikula, pisi anazotongoza huwezi zidhania.
Mi najuaga watu wafupi huwa hawajiamini ila wanajihami. Yaani hawapendi uwachukulie poapoa, mtazinguana.
Japo ni ngumu kwa mtu aliepitia hayo kurekebika ila mkuu usijitie unyonge sana, usiwaplease sana watu kua kwenye maisha yako.
Kujiamini kunaanzia kwako mwenyewe, na kama una muonekano wa dogo wa miaka 23 si utoke na mabinti wa miaka 17, 18, 19 hao hawatakua na maswali mengi juu yako.
Achana na nyeto na kuangalia pilau, kwa watu wenye maswahibu ya namna hiyo haziwafai. Fanya ukikosa nyama mara mojamoja ila sio kufanya kisa huwezi kupata nyama.