Zanzibar Spices,Nikweli kuna dude linashushwa maeneo ya Shangani mitaa usawa wa ufukwe wa Zanzibar Serena Inn na Tembo House Hotel.
Hii ndio Top Class in Zanzibar Stonetown,halafu Serena ndio atafuatia.
Na kama sikosei ndio Hotel ya kwanza pekeeyenye vyumba vingi Stonetown na ya pili kwa Wilaya ya mjini Magharibi baada ya Zanzibar Beach Resort
Ukiwa mjanja ujue sio kila nafasi za kazi huwa zinawekwa wazi,wengine wanaenda pale na ku dropp Barua kisha wanasepa,wakija ma PO wanaipitia mara unastukia unaitwa.
Unajua kwenye Ajira za mwanzo kwa hotel kama hizi sio wote walioitwa kwenye ajira wana report,wengine wanakuwa wameisha pata sehem na wame cancel kwenda kwao.
Jipange,hawa jamaa ni chain ya Kilimanjaro Hyatt Regency(Ikijulikana Kama Kilimanjaro Hotel
Heshima Kwako Mkuu(Zanzibar Spices)ahsante Sana Kwa Feedback Ila Kwa Sisi Wa Mikoani Kudrop Barua Ni Ngumu Wacha Tu Tuangalie Njia Nyingine Za Kuweza Kutuma Cv.
Mm Ni Yule Mtu Wako Anaepiga French N Italian Vizuri,mbona Umeniacha Hewani Mkuu?