Paris vs Man City

Hayo ni maoni yako binafsi, Out of 10 million fans only one will support your opinion....
Na maboss wa psg wanamng'angania huyo dogo kumbakiza kwa gharama yoyote wanajua akiondoka tu na project yenyewe imekufa Neymar na Messi hakuna kitu unaweza tegemea toka kwao kwa sasa
Na dogo mwakani anawakimbia ndio utajua utegemezi wa hiyo timu ulivyo kwa Mbappe
 
Back
Top Bottom