Tetesi
UZA WILLIAN, NUNUA LUCAS MOURA
Chelsea watamuuza Willian Januari kwani wanataka kumsajili winga wa Paris Saint-Germain Lucas Moura majira ya baridi, le10sport limedai.
Habari zinadai kuwa mshambuliaji huyo wa Blues yupo tayari kwenda China jambo litakalomfungulia milango Lucas.